Jeremiah 49:24


24 aDameski amedhoofika,
amegeuka na kukimbia,
hofu ya ghafula imemkamata sana;
amepatwa na uchungu na maumivu,
maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa.
Copyright information for SwhKC